Msaada wa Export and Import Data

Guus

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
1,139
Reaction score
842
Habari zenu wana jukwaa,

Natambua kuwa mwaka 2000 Tanzania tulijitoa COMESA, lakini pia najua ya kuwa pamoja na kujitoa huko hakumaanishi hakuna kinachonunuliwa au kuuzwa kutoka au kwenda nchi za COMESA.

Na natambua kuwa ni mwaka huohuo tuliunda EAC, lakini pia haimaanishi hatukuwa na mahusiano ya kibiashara na nchi za EAC. Kwa kutambua hilo nimeamua kufanya tafiti kuihusu Tanzania, COMESA na EAC.

Nina mengi ya kuchunguza, likiwamo hili la biashara. Shida ninayoipata katika kipengele hiki cha biashara ni data. Hivyo wanaJF ninaomba yule mwenye data/anayefahamu wapi naweza kuzipata anisaidie.

Kikubwa ni data kuhusu "Export & Import volume/values" kwa Tanzania katika COMESA na EAC kuanzia 1980 hadi 2014.

Cheerz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…