Msaada wa fedha zilizotumwa kutoka nje

Msaada wa fedha zilizotumwa kutoka nje

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
604
Reaction score
218
Nina ndugu yangu yeye anaishi nje ya Tanzania siku ya jumamosi alinitumia hela ya iddy kupitia bank na halafu akanitumia picha za pay in slip.

Sasa shida yangu ni kubwa ni moja na shida na hizi hela ya haraka harafu bank wameniambia baada ta masaa 72 yaani kuanzia leo jumanne maana jumamosi na jumapili siyo siku za kazi.

Ila kuna mtu ameniambia kuwa ukiwa na payinslip ukienda bank ukawaonyeshea wanaweza kukupa hela zako ulizotumiwa. Sasa hapa nauliza ili jambo ni la kweli maana kutoka hapa napo kaa hadi kupata bank ni mbali kidogo maana ningeenda kuulizia bank kama kuna mtu mwenye kujua naomba anisaidie
 
Subiri muda ufike. Si lazima masaa 72 Lakini hata uwe na hiyo slip kama mzigo haujasoma kwenye account huwezi kuipata hiyo hela

Jr[emoji769]
 
Nina ndugu yangu yeye anaishi nje ya Tanzania siku ya jumamosi alinitumia hela ya iddy kupitia bank na halafu akanitumia picha za pay in slip.

Sasa shida yangu ni kubwa ni moja na shida na hizi hela ya haraka harafu bank wameniambia baada ta masaa 72 yaani kuanzia leo jumanne maana jumamosi na jumapili siyo siku za kazi.

Ila kuna mtu ameniambia kuwa ukiwa na payinslip ukienda bank ukawaonyeshea wanaweza kukupa hela zako ulizotumiwa. Sasa hapa nauliza ili jambo ni la kweli maana kutoka hapa napo kaa hadi kupata bank ni mbali kidogo maana ningeenda kuulizia bank kama kuna mtu mwenye kujua naomba anisaidie
Siku hizi unaweza kutumiwa pesa direct kwenye simu yako kutoka nchi nyingi duniani via mobile money kwa mfano Voda, Airtel, Tigo n.k na ndani ya muda usiozidi saa 4 unapokea pesa yako. Achana na mambo ya bank kama una haraka.

Mshauri siku nyingine akutumie kupitia :

Worldremit
Moneygram
Western Union.

All are instantly
 
siku hizi unaweza kutumiwa pesa direct kwenye simu yako kutoka nchi nyingi duniani via mobile money kwa mfano Voda, Airtel, Tigo n.k na ndani ya muda usiozidi saa 4 unapokea pesa yako. Achana na mambo ya bank kama una haraka.

Worldremit nakazia pesa yako unaenda itoa dukani kwa Mangi
 
siku hizi unaweza kutumiwa pesa direct kwenye simu yako kutoka nchi nyingi duniani via mobile money kwa mfano Voda, Airtel, Tigo n.k na ndani ya muda usiozidi saa 4 unapokea pesa yako. Achana na mambo ya bank kama una haraka.

Mshauri siku nyingine akutumie kupitia :

Worldremit
Moneygram
Western Union.

All are instantly

Nashangaa nani anaetuma hela tena hela ya mbuzi kwa bank miaka ya leo achilia mbali WU na moneygram. Sitoshangaa kusikia ndugu yake hajamtumia hela kabisa ilikua sound tu.
 
Nina ndugu yangu yeye anaishi nje ya Tanzania siku ya jumamosi alinitumia hela ya iddy kupitia bank na halafu akanitumia picha za pay in slip.

Sasa shida yangu ni kubwa ni moja na shida na hizi hela ya haraka harafu bank wameniambia baada ta masaa 72 yaani kuanzia leo jumanne maana jumamosi na jumapili siyo siku za kazi.

Ila kuna mtu ameniambia kuwa ukiwa na payinslip ukienda bank ukawaonyeshea wanaweza kukupa hela zako ulizotumiwa. Sasa hapa nauliza ili jambo ni la kweli maana kutoka hapa napo kaa hadi kupata bank ni mbali kidogo maana ningeenda kuulizia bank kama kuna mtu mwenye kujua naomba anisaidie
Siku nyingine mwambie ndugu yako akutumie kwa M-pesa inaingia muda huohuo. Nje ya nchi kuna njia nyingi tu zinazoweza kutuma kwa M-pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom