msaada wa financial structure mzumbe!

luofe

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
330
Reaction score
143
ndugu naomba mwenye hiyo financial structure ya mzumbe maana joining instruction haionyeshi michango mingine zaidi ya hostel fee
 
kwenye web yao sijaona chochote kuhusu michango!
 
Fee to be paid directly to the University is as follows: *SN ITEM* *Tshs.* 1 Tuition per year (Tuition, Registration, Examinations and Library Services) 1,300,000 2 Campus Accommodation PER bed per year 119,000 3 Students without NHIF will pay Non-refundable Medical fee per year 75,000 4 Students with NHIF will pay Non –refundable Medical fee per year 30,000 5 Mzumbe University Students’ Organization (MUSO) Fee. 10,000 6 Caution Money 50,000
 
asante kaka but anayotakiwa kulipa anapoanza ni sh ngapi kwenye hiyo ada hapo juu!
 
hivi hyo ada inalipwa yote o kwa awamu
 
hivi hyo ada inalipwa yote o kwa awamu

hiyo 1,300,000 unaweza kuilipa mara mbili yani nusu kwa nusu,dukuduku langu wapendwa "je tunapaswa kulipa hizo fedha kabla ya tarehe 30 september au tarehe 14 october 2013?naomba kujuzwa.
 
hiyo 1,300,000 unaweza kuilipa mara mbili yani nusu kwa nusu,dukuduku langu wapendwa "je tunapaswa kulipa hizo fedha kabla ya tarehe 30 september au tarehe 14 october 2013?naomba kujuzwa.

sio lazima sanah!
 
hiyo 1,300,000 unaweza kuilipa mara mbili yani nusu kwa nusu,dukuduku langu wapendwa "je tunapaswa kulipa hizo fedha kabla ya tarehe 30 september au tarehe 14 october 2013?naomba kujuzwa.

kabla ya tarh 30 sept. Na hizo registation fee n hostel tunalipa pamoja na adaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…