Msaada wa fishing nets market place in Guangzhou China

zed123

Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
88
Reaction score
66
Habari za kazi wana JamiiForums,

Naomba msaada wenu ni eneo gani ambapo wanauza vifaa vya kuvulia samaki kama fishing twine, fishing nets katika mji wa Guangzhou China, ningependa kujua exactly location, please kwa anaejua anisaidie.
 
Nine google hats sojaona nimeona manufacturer na suppliers tu ,
 
Nahitaj eneo ambako naweza kununua rejareja au jumla
 
Nine google hats sojaona nimeona manufacturer na suppliers tu ,

Kwahiyo mzee uko nchi za nje au sio..
Dah.... Nakutamania kishenz....

Sema unaandika ovyo ovyo kinyama...
Cheki unavo kosea kosea!!!
 
Habari za kazi wanajamii forums ,naomba msaada wenu in eneo gan ambapo wanauza vifaa vya kuvulia samaki kama fishing twine,fishing nets katika mji Wa Guangzhou China,ningependa kujua exactly location,please kwa anaejua anisaidie,
Kama upo china soma mabango barabarani
Habari za kazi wana JamiiForums,

Naomba msaada wenu ni eneo gani ambapo wanauza vifaa vya kuvulia samaki kama fishing twine, fishing nets katika mji wa Guangzhou China, ningependa kujua exactly location, please kwa anaejua anisaidie.
Kama upo china soma mabango mitaani kama upo bongo basi nenda china utakuta mabango yanayoelekeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…