Huko ndio mwisho wa matatizo.Nenda YouTube, andaa bundle la kutosha ili ujifunze
Yes hapa umemaliza , apambane sasa. Akitaka cheti nadhani anatakiwa aandae dolali kadhaa 160-300 kutegemea na chuo na course, akitaka kusoma tu bila cheti freee..tutorialpoint
udemy
coursera
edureka
nadhani hizo zinatosha
Wanatoa skolashipu kwa wananchi walioko nchi zinazoendelea. Unalipia 10% ya ada.Yes hapa umemaliza , apambane sasa. Akitaka cheti nadhani anatakiwa aandae dolali kadhaa 160-300 kutegemea na chuo na course, akitaka kusoma tu bila cheti freee..
Kuna na Edx..
RipWanatoa skolashipu kwa wananchi walioko nchi zinazoendelea. Unalipia 10% ya ada.