Nakutafutia solution...Nashukuru, nimeitembelea Jambo Network, naona itanisaidia nikiwa ofisini. ila Desktop Computer yangu nyumbani haina internet connection hivyo sitanufaika nayo nikiwa nyumbani.
Mbali na sharti la kuwa na Telephone line ya TTCL, kuna njia mbadala ya kupata cheap internet connection ( i may sound ackward but it's true that i am not aware of any)?Nakutafutia solution...
Kama upo Dar kwanini usiwe na internet nyumbani? Mbona ni cheap sana? Think of it
unlimited connection more than 256kb ni tsh ngapi?Kama upo Dar kwanini usiwe na internet nyumbani? Mbona ni cheap sana? Think of it