icca Senior Member Joined Nov 8, 2014 Posts 185 Reaction score 175 Sep 24, 2019 #1 Salami wana jukwaa, Nataka kufungua biashara ya mpesa morogoro,msaada wa mwemye kibanda anapangisha au fremu kwa maeneo yoyote yaliyochangamka apa mjini, nmejitahidi kutafuta mwenyewe naona inakua ngumu, Natanguliza shukrani.
Salami wana jukwaa, Nataka kufungua biashara ya mpesa morogoro,msaada wa mwemye kibanda anapangisha au fremu kwa maeneo yoyote yaliyochangamka apa mjini, nmejitahidi kutafuta mwenyewe naona inakua ngumu, Natanguliza shukrani.
Mr.genius JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 1,374 Reaction score 1,201 Sep 24, 2019 #2 Mh! Mbona ma fremu yapo kibao meengi tu, mkuu? Au labda kama una location zako unazozitaka.