Msaada wa fundi wa magari aina ya NISSAN kutoka UK

Msaada wa fundi wa magari aina ya NISSAN kutoka UK

sonashi

Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
44
Reaction score
10
Tafadhali kwa mwanajamvi yeyote anayemfahamu fundi umeme wa magari aina ya NISSAN kutoka UK ani inbox namba zake tuongee naye.
 
Mimi nakushauri tafuta fundi anayetumia Diagnosis machine kukuangalizia gari lako hapo utawapata
 
Back
Top Bottom