Msaada wa garage nzuri Mbeya Mjini kwa magari madogo

Msaada wa garage nzuri Mbeya Mjini kwa magari madogo

Ntozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2021
Posts
226
Reaction score
300
Naomba kujua garage nzuri mjini mbeya kwa magari madogo.Au kama kuna mtu anamfahamu fundi mzuri wa magari madogo Mbeya mjini tafadhali.
 
Nenda njia ya teku kule nyuma kwenye garage ya Madaraka kuna jamaa mmoja fundi mzuri sana anaitwa Ima. Ukimkosa huyo kaulizie gereji yoyote ukanda huo
 
Back
Top Bottom