Msaada wa Garage nzuri ya Mercedes


Top of that mjapan qna spares everywhere not hard na complex to fix, mjeruman on the otherside ni changamoto
 
Nishaacha ku deal na new Gen car owners. Wajuaji. Mtu anataka vitu bei rahisi halafu genuine(kwahio wanabaki kuuziwa box lenye nembo) hawa wanawezana wenyewe ndio maana unawaona humu wakilialia wakishaumizana.
Kweli hio ngumu
 
Nishaacha ku deal na new Gen car owners. Wajuaji. Mtu anataka vitu bei rahisi halafu genuine(kwahio wanabaki kuuziwa box lenye nembo) hawa wanawezana wenyewe ndio maana unawaona humu wakilialia wakishaumizana.
Wateja wa spare za gari ndogo ni wasumbufu kama watoto wa chekechea. Mtu anakuja na bei yake kichwani, mimi siku hizi naona bora trucks na mitambo watu wanaelewa nini wanataka.
 
Top of that mjapan qna spares everywhere not hard na complex to fix, mjeruman on the otherside ni changamoto
Gari za mjerumani ziko complicated. Anacomplicate mambo kupata perfomance and efficiency ila anasababisha many breaking points
 

😂😂😂😂 gari inatetemeka km ina kifafa?
 
Zamani nilikuwa nikitengeneza gari yangu pale, Ni wazuri ila kwa sasa naona kama lile eneo halipo tena.
 
UPDATE UPDATE UPDATE

Habarini wakuu,
Nimeona nipost update baada ya gari kupona.
Nilimpata fundi mmoja, kijana mdogo tu, akaiangalia gari thoroughly..So apparently gari ilikua ina-leak engine oil.. sikufahamu maana nikikua nimetoka kufanya service ya engine 2 weeks ago.. hivyo sprocket zililika thead na baadhi ya valves 6.. kati ya 12 zilipinda(kama niko sahihi)… hicyo tukanunua na kubadili valve zote, sprocket, na timing chain. Cha ajabu baad ya hiyo repair yote battery nayo ikafa(sijui kwanini, repeated cranking? au ni coincidence).. nikabadili na battery mpya.
Gari imerudi barabarani na ina nguvu kuliko ilivyokuwa mwanzo.. hata throttle response inanishangaza.
All in all, mafundi wakati mwingine wanachangia kuharibu magari, hence proven, tafuta fundi mzuri, badala ya kukimbia garama bora uende kwenye.m service ghali lakini a sure thing.

Nawasilisha.
 
Kama huyo fundi ana ofisi unaweza ukawapa watumiaji wengine wa gari za mzungu ukawasaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…