Eternal_Life
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 812
- 1,674
Ok mkuu,naomba basi unielekeze niende.Sidhani kama dar kuna gereji ya subaru tuu.lkn mm nawafaham mafundi wanao tengeneza au deal na subaru.dar
Kuna seal kwenye sterling rod inavuja na kumaliza hydrolic oil yote mkuu.Kinondoni biafra..sema ungetaja gari yako ina shida gani ndio ingekuwa vizuri zaidi.kama ni upande wa umeme au machenical
Sasa huo si ugonjwa wa kawaida boss.Kuna seal kwenye sterling rod inavuja na kumaliza hydrolic oil yote mkuu.
Shukrani boss.Sasa huo si ugonjwa wa kawaida boss.
Ukiona ni ghali just check on me nikuelekeze sehemu nyingine ambao wako fair zaid!Swalama wakuu,
Naomba mwenye anajua garage nzuri ambapo wanatengeneza magari ya subaru anipe muongozo.
Natanguliza Shukrani za dhati.
Maana i am also using the same hapa town!Ukiona ni ghali just check on me nikuelekeze sehemu nyingine ambao wako fair zaid!
Sawa mkuu0-60 (buguruni i think), na gear tech performance (kijitonyama)
Asante mkuuMaana i am also using the same hapa town!
jibu makburi kabisaSidhani kama dar kuna gereji ya subaru tuu.lkn mm nawafaham mafundi wanao tengeneza au deal na subaru.dar
Mafundi wa Subaru sasahivi hapa mjini wapo wengi tu.ni kujua yupi mzuri kwamaana wanazidiana ujuzi na uzoefu lakini Mimi nimeshapeleka gari yangu kwa mafundi wa Subaru kama watatu hivi wote ni wazuri.
Sent using Jamii Forums mobile app