1. Tatizo la check engine light si la kubashiri, inaweza kuwaka kwa sababu nyingi sana...hapo kafanye diagnosis kwa wataalamu..[emoji38]Wakuu Habari za weekend
Gari yangu Aina ya Nissani teana 230jm inashida zifuatazo ambazo naomba ni share na wadau hapa mnipe mawazo
1. Check engine light iko on...
Kuna waya za lead zinavujisha voltage , pia baadhi ya plug hazichomi mafuta ndiomana inapeleka mafuta mengi hayachwi vizuri peleka gari wakapime kwenye OBD SCANNER
Thank you so much
Toa review mkuu limetatulika kwa huyo fundi?Thank you so much
Sio kwa Teana, Cedric, Cefiro, Gloria na Fuga. Zote pasta kichwa.Nissan ni gari nzuri sana
fafanua zaidi mkuuSio kwa Teana, Cedric, Cefiro, Gloria na Fuga. Zote pasta kichwa.
Pasua kichwa hizo Gari.fafanua zaidi mkuu
Hivi gari ndiyo pasua kichwa au vivywa vyetu ndiyo vimepasuka?Pasua kichwa hizo Gari.
Naungana na wewe mkuu,, watu wanakatishana tamaa sana na kiufupi hakuna gari mbovuHivi gari ndiyo pasua kichwa au vivywa vyetu ndiyo vimepasuka?
Gari unainunua nzima hujifunzi kujua gari inatataka kutunzwaje, unaendesha gari bila kuifahsmu vizuri, kukiwa na tatizo dogo badala la kuuliza mafundi waliobobea wa gari hizo, wee unauliza watu wa jamii forum. Btother, miongoni mwa wanaokushauri humu wanaishi kwa wazazi wao bado.
Tupe uzoefu kidogo kwa Nissan ulizowahi kumiliki mkuuPasua kichwa hizo Gari.
Hamna gari kwenye Cedricfafanua zaidi mkuu