DCONSCIOUS
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,269
- 473
Jamani mbona hivyo wenye mahitaji na hizo codes tupo wengi hebu naomba ziweke wazi ili jukwaa hili liwe msaada kwa wengi na sio kwa siri siri
kama umeweza kupost mchango wako hapa umeshindwa nini kuPM kama wenzio na umeona wanasema wamefanikiwa?
ubarikiwe mkuuBig up, @Inkoskaz
key zimekubali, nimekugongea na senks.