Msaada wa gharama ya msingi wa ghorofa moja

Mahorii

Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
96
Reaction score
110
Habarini ndugu zangu,
Naomba kujua makisio ya gharama ya msingi na first floor kwa square meter.
Naelewa gharama ya msingi inatofautiana na mambo mengi,ila kwa sasa nataka kujua makisio tu ya karibu na gharama halisi.

Asanteni sana kwa mda wenu.
 
Mahorii : habari?
Gharama za msingi wa ghorofa hua inategemea na mchoro unaojenga na sehemu unayojenga
Mfano kwa Dar bei inaweza kua 20m - 25m kutokana na gharama za vifaa vya ujenzi viko chini mfano
Mchanga 300k - 350k
Saruji 16,500 - 17,500
Nondo 1 ton 1,800,000 - 2,500,000
Kokoto 2,200,000
Changamoto ya Dar ni mafundi kutaka gharama kubwa kwenye ujenzi
Mfano Dodoma,
Gharama ya saruji ni 19,500 - 20,000
Gharama ya ufundi ni nafuu, so hapa kwa msingi ni 25m - 30m
Kokoto 1,600,000
Mfano Zanzibar,
Mchanga ni gharama kubwa 800,000 kwa gari Moja, pia kokoto hazina ubora hivyo ili uweze kupata grade nzuri ya Zege lazima saruji utumie nyingi,
Gharama ya msingi 35m - 50m
 
Pia unasema unataka gharama kwa sqm, rate ya zamani ilikua ni 500,000 kwa sqm na kwa Sasa ni 800,000 kwa sqm,
Kama unajenga jengo binafsi usi-base kwenye hiyo rate utapotea,
 
Asante kaka kwa mchango na mda wako.
Hii 25-30m inaweza kuwa kiasi gani kwa sqm? Nina ramani ya 55sqm.

Natanguliza shukrani kwa msaada wako.
 
Pia unasema unataka gharama kwa sqm, rate ya zamani ilikua ni 500,000 kwa sqm na kwa Sasa ni 800,000
Pia unasema unataka gharama kwa sqm, rate ya zamani ilikua ni 500,000 kwa sqm na kwa Sasa ni 800,000 kwa sqm,
Kama unajenga jengo binafsi usi-base kwenye hiyo rate utapotea,
Samahi kaka, hii rate ya 800k ni kwa sqm ya jengo sio na sio msingi pekeyake?
Mfano,jengo langu lina 55sqm kwahiyo, itagharimu roughly 55M (55*800k)kwa jengo lote bila finishing au ni msingi tu kwa ghorofa kwa 55M
Samani kwa usumbufu
 
Mfano Zanzibar,
Mchanga ni gharama kubwa 800,000 kwa gari Moja, pia kokoto hazina ubora hivyo ili uweze kupata grade nzuri ya Zege lazima saruji utumie nyingi,
Gharama ya msingi 35m - 50m
Ipo siku wataanza kuagiza toka Dar sijui wakijitenga itakuwaje
 
Back
Top Bottom