Msaada wa gharama za kutoa gari bandarini

mlowola

Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
90
Reaction score
57
Amani iwe kwenu wana J.F.

Nataka kuagiza gari toka Japan, IST, 1290cc, ya mwaka 2006. Naombeni msaada wa gharama halisi za kutoa gari bandarini (Dar) hadi uwanjani kwangu.

Nawasilisha.
 
katika kuagiza gari kuna gharama zifuatazo, 1. CIF au C and F ila nashauri fuata CIF, 2. Gharama za TRA , 3. Shippping line fee, 4. Port charges, 5. Agent fee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…