Msaada wa gharama za x ray

Msaada wa gharama za x ray

Internal

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
3,579
Reaction score
3,919
Habari wakuu. Naomba kujuzwa gharama za x-ray.
 
Swali lako lipo general sana.. bei zinategemeana na aina ya hospital na aina ya X ray
Sio mjuzi ndo mana, ila nimeuliza maana anayehotaji anataka apigwe x-ray kwenye koo. Nimeamua kufanya japo makadrio ya gharama kabla sijampeleka hospitali, tawi la kcmc huko bombo.
 
Back
Top Bottom