msaada wa GPA chuo kikuu

msaada wa GPA chuo kikuu

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,262
Reaction score
2,184
nataka kujua ili uchaguliwe kua mwalimu wa secondary wanataka kuanzia gpa ngapi uweze kupata post
 
Kuanzia 2.7 ndo minimumu recquirement.

asante mkuu je zile mark za tp zinakua ngapi na zinaingiaje kwa mfano masomo ukipiga hesabu ya gpa ukapata 2.6 marks za tp zinakuaje
 
Kutokana na mahitaji makubwa ya walimu wahitimu waliofaulu shahada na diploma huajiriwa. Kiwango cha chini kabisa cha ufaulu ni 2.7 mkuu. Btp huhesabiwa pamoja na masomo mengine
 
Kutokana na mahitaji makubwa ya walimu wahitimu waliofaulu shahada na diploma huajiriwa. Kiwango cha chini kabisa cha ufaulu ni 2.7 mkuu. Btp huhesabiwa pamoja na masomo mengine

so tp ni kama somo lingine tu
 
nataka kujua ili uchaguliwe kua mwalimu wa secondary wanataka kuanzia gpa ngapi uweze kupata post

Jibu ninalokupa ndo la ukweli, Hawangalii GPA wala nini imradi ulijaza form au uliandika barua utapata tu ajira hapo JANUARY 2014. Hata kama ume carry over, hilo hawalijui utakula hela tu za ualimu.
 
asante mkuu je zile mark za tp zinakua ngapi na zinaingiaje kwa mfano masomo ukipiga hesabu ya gpa ukapata 2.6 marks za tp zinakuaje

unaweza kuwa na GPA ya 4.6 but unacarry over wewe ni mwanafunzi tu, ila mwenye GPA 2.7 na hadaiwi kitu huyo anafanya graduation.
 
Hakuna cha gpa wala nini hapo unakua tu teacher kama mimi na huku raha tu ukiwa na akili timamu
 
Back
Top Bottom