Msaada wa Guide Bagamoyo.

Msingida

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,239
Reaction score
11,731
Wapendwa;
Nina ziara na wageni Bagamoyo.Ninaomba Msaada wa Mtu wakutuongoza (guide)
Kazi ni ya siku moja (Wanafunzi wa kitanzania) kwa malipo ya Tsh.20,000/. Kuanzia saa Tatu asubuhi hadi saa nane mchana.Atakaye kuwa tayari ani PM.
Nawakilisha.
 
wageni gani kwanza,au alshabaab
 
Mtafuteni bwana mmoja akiitwa Professa Samahani Kajeli pale Kaole ruins ; alikuwa amestaafu toka idara ya mambo ya Kale lakini nadhani bado yuko Bagamoyo kama sikosei! Mkimpata mtapata darasa zuri sana juu ya historia iliyopo Bagamoyo na tour yenu itakuwa nzuri sana. Zamani akipatikana pale kanisa la Katoliki Bagamoyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…