Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Kuna wimbo wa zilipendwa unaimbwa hilo oooh oooh, unaongelea jitu zima lililokuwa linaleta ujuai na hatimaye likapigwa na katoto. Jirani yangu ni Simba damu nataka niweke hiki kibao aburudike
Boss la DP World , huyu kwa kazi nzuri aliyofanya inabidi umpe kazi hapo bandariniš
Huyu atakuwa msimamizi wa jiko la makuli wote.Boss la DP World , huyu kwa kazi nzuri aliyofanya inabidi umpe kazi hapo bandariniš
Bandari sijanunua, nimepewa bure.Unataka ununue hati miliki ya huo wimbo kama ulivyonunua bandari zetu sio