Msaada wa haraka Cursor haitembei

Msaada wa haraka Cursor haitembei

Boeing787-8

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2018
Posts
1,155
Reaction score
1,209
Wakuu za jumapili.

Laptop yangu aina ya HP, Leo imezingua sjui nmebonyeza wapi, cursor haitembei ,imestuck.

Naombeni msaada please maana Nina kazi za kiofisi inabidi nizikamilishd

IMG_20241110_085457_939.jpg
 
Kuna function key hapo juu ina alama ya mouse, jaribu kubofya kati ya f4 ama f8 inaweza kuwa mojawapo.
 
Angalia touchpad yako, je kuna taa yoyote inawaka katika pembe zake zote nne? Kama ipo, basi iguse mara mbili (double tap) hiyo taa itazima na cursor itafanya kazi.
 
Bado mkuu,,yaan nkiizima nkiiwasha Ili niingize password Cusor inatembea vzr Ili nkishaifungua password Cusor hai move kabsa
Ok fungua upande wa setting utaipata hapo unapozimia computer kisha fungua devices ukishafungua utaona sehm pameandikwa touch pad fungua baada ya hapo utaendelea utaona sehm pameandikwa disable ww iweke isome anable nadhn itakusaidia kama njia za mkat hazijakusaidia
 
Back
Top Bottom