Toka jana jioni nahisi maumivu kwenye Dudu yangu...nikiwa nakojoa nahisi maumivu japo sio makali sana.
Nahisi huenda itakua ni U.T.I (urine infection disease), naomba kama kuna mtu amewahi patwa na tatizo kama hilo au anaijua dawa ya U.T.I aniambie ili nikimbilie Phamacy.
NB: Am still single na sija-do kwa muda wa miezi minne so nina uhakika kuwa sio ugonjwa wa zinaa/ caused by doing sex peku peku.
Nisaidieni plse.