Msaada wa haraka, eneo gani Sinza wanauza Kitimoto?

Msaada wa haraka, eneo gani Sinza wanauza Kitimoto?

Melancholic

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
3,076
Reaction score
5,483
Ni wapi wanachinja yule mdudu mtamu namaanisha kitimoto kwa maeneo ya Sinza na Kijitonyama?

Msaada wa haraka unahitajika wakuu mdomo unawasha sana weekend hii.

Nawasilisha.
 
Fika bamaga pale kwenye mataa nyuma ya zile petrol station mbili zilizokaribiana ulizia sehemu panaitwa tekenya.
 
Mibs ...nenda big bon uliza utaonyeshwa wana chops na ribs za hatariii
 
Ni wapi wanachinja yule mdudu mtamu namaanisha kitimoto kwa maeneo ya Sinza na Kijitonyama?

Msaada wa haraka unahitajika wakuu mdomo unawasha sana weekend hii.

Nawasilisha.

Mabatini pembeni ya headquarters liquor kuna mnyakyusa anatengeneza kitimoto tamu balaa.
 
Back
Top Bottom