Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Ipo makumbusho sehem gani mkuuNenda Mongi Bar Makumbusho utanishukuru badae mkuu .
shuran mkuuFika bamaga pale kwenye mataa nyuma ya zile petrol station mbili zilizokaribiana ulizia sehemu panaitwa tekenya.
Mesuma lodge Kwa nyuma Yan bara bara inayofata .Ipo makumbusho sehem gani mkuu
Sawa mkuu shukranMesuma lodge Kwa nyuma Yan bara bara inayofata .
Sawa mkuuMibs ...nenda big bon uliza utaonyeshwa wana chops na ribs za hatariii
Ni wapi wanachinja yule mdudu mtamu namaanisha kitimoto kwa maeneo ya Sinza na Kijitonyama?
Msaada wa haraka unahitajika wakuu mdomo unawasha sana weekend hii.
Nawasilisha.
Geti jeusi au?Mabatini pembeni ya headquarters liquor kuna mnyakyusa anatengeneza kitimoto tamu balaa.