Wanakuchanganya nini au ww ndiye unaejichanganya. form 6 unashindwa kujua ni fanye nini au na ww ulifaulishwa kuingia form 5? chakufanya visit chuo unachotaka ku join ktk website yao, ujue wanatoa programe zipi ukisha ona program unayoitaka, nenda website ya tcu-tanzania commission for universities, unafanya online application. utapata admission online through tcu. usiwe mvivu kusoma usije ukawa kama akina Mh.Dr. Kawambwa