AMINATA 9
JF-Expert Member
- Aug 6, 2011
- 2,120
- 642
nina rafiki yangu yuko chuo kimoja maarufu hapo tz ana mvulana wake na yy pia ni mwanafunzi ila chuo ikoiko
anampenda sana mvulana wake ila hamuamini sana kwasababu ya vitendo vya huyo bwana kuonesha kua ana wasichana wengine anawasiliana nao fb kupita kiasi na some times ktk simu pia ila kila akimuuliza jamaa anasema hana mahusiano nao bali anawatania tu na hana mpango nao...........ila kitendo iko kimekua kikimuudhi sana rafiki yangu na hua kila nikiongea naye analalamika tu juu ya mvulana wake
mawasiliano yenyewe yako ivi mana alinikopia ili nione mana nilikua siamini koz jamaa ni mpole mnoo na smart sana ktk mambo yake
mkaka:mambo dada
mdada😛oa vipi
mkaka:umeolewa
mdada:hapana kwani vp
mkaka:unaonaje nikikuoa mm jamani
mdada:khaa! hata hunijui loh!
mkaka:nitakujua nikikuona na sasa hapa si ndio mwanzo wa kujuana we niambie uko wapi nikufuate kila kitu juu yangu (kuhusu garama usijali)
yani yy mda wote ni anachati na wadada na kuadd wadada tu ktk fb yake na cm yake na akiulizwa eti anasema nawaenjoy tu hana mpango nao wala nn
sasa alimpaga rafiki yangu password yake ila rafiki yangu hakua anaangali hata cku moja isipokua jana alimtumia text mkaka akakaa mda mrefu bila kujibu na anaonekana hewani rafiki yangu akaingiwa na wasiwasi akaamua kuingia fb ya mkaka ndio kumkuta anaongea na dada mmoja ili amfuate aliko na tax aje kulala kwake yule rafiki yangu alichofanya akamtumia yule kaka text kua leo hatuwez kuoana nitakua kikaoni na wenzangu ktk chama cha wanawake so nitakuona kesho yule kaka hakujibu kitu rafiki yangu akaaa akaamua kutoka nje anamuona jamaa anachukua tax anampigia simu na kumuuliza uko wapi anasema niko sehemu nafanya kazi za shule
yy rafiki yangu akamwambia ww fanya utakavo mm sikuzuii wala kukulazimisha kua na mm nenda kamfate huyo unayemfata aje kulala kwako kaka akajibu mbona sikuelewi rafiki yangu akamwambia umesahau ulinipa password yako nimesoma vyote leo........kaka akaanza kujichekesha rafiki yangu akazima simu leo anaangalia password kaibadilisha tena na anamwambia eti nisamehe nakupenda sana wale mm sina mpango nao hata kidogo
sasa hajui afanyeje mana kumpenda anampenda mnooooooo si kidogo tatizo ni mkaka kupenda sana wanawake tena ambao hata hawajui ni wale wa kuwatafuta ili akakutane nao huko mana wote ni wa mtandaoni
MM BINAFSI NILITAKA KUMJIBU MUACHE MANA HATABADILIKA HUYO LABDA ANA PEPO LA NGONO ILA NIKAOGOPA so naomba majibu ya busara ili nimpatie rafiki yangu
natanguliza shukurani zangu za dhati kwa watakaotoa maoni yao