sijampa bado mana naogopa waweza umwambie muache alafu wasiachane sura nitaiweka wapi hii loh!Jibu ulitaka/ ulilompa ndio jibu sahihi.
wewe kima kweli usifikiri watu wote walioko huku ni waswahili mweh!then ktk dunia hii ukihadithiwa kila kitu utafikiri ni chakutunga koz hujawai kutokewa wala kuona mbali na kusikia ww inaonesha ni mtoto wa nepi bado so ukikua utaacha ...............sasa wakati ww unakua acha ss tuendelee na walimwengu mana ww huwajui badostory ya kutunga na bado haina mvuto, alafu we ni graduate jifunze kujieleza jamii ikuelewe! kiswahili broken, ebu jaribu kuiweka katika english may be we will get u!
mm pia nataka kumuambia ivo tatizo kafa sana naweza kusema then naye amwambie yule hata rafiki yangu kasema nikuache loh!Aendelee na masomo yake,na AMUACHE huyo jamaa,magonjwa mengi siku hizi.Simshauri nae a cheat kabisa.Atapata mwingine.
Anauliza nani ya mbwa wakati mkia kaushika?