Msaada wa haraka jamani

Mwambie huyo dada akazane na masomo yake, huyo jamaa hamfai kwani ataendelea na hiyo tabia tu!
 
Nikwambie tu, ukiacha cm, FACEBOOK imeshavunja mahusiano ya wapenzi wengiiiiii, na hasa kutokana na ushamba na ujinga wa vijisichana na vijivulana wadogo, na hata vijana wazina waliokaribia kuoana, fb ni hatari kuliko cm kwani kwa cm humjui mtu kwa picha, so fb wasichana wengiiii hujiuza kwa picha na hatimaye kufanya umalaya sana, hasa wanafunzi kuanzia sec, vyuo hadi University, FB ukiwa mshamba, punguani hivi UHUSIANO WENU UTAKUFA NAKUAPIA, mademu hujiuza saaana fb, tena ulaya ndio sehemu ya mtandao watumiayo prostitutes wazi wazi, uchi uchi kujiuza, hapa ndio wanaanza, bcareful.... Wadada wa siku hizi wengi pia ukichukua cm namba yake kakupa, yaani labda mwanaume asiwe mshapu, utakula tu, tena hata kwa vocha, biashara biashara, muwe makini....
 
sasa hii post ndio 'msaada wa haraka' ?????

utafanya siku ukipost msaada wa haraka wa kweli tusitilie maanani..

ugonjwa wako wa moyo umepata nafuu???
 
Mwambie huyo dada akazane na masomo yake, huyo jamaa hamfai kwani ataendelea na hiyo tabia tu!
hilo nalo neno........
nimemwambia sa sijui ka atasikiliza au lah
 
ndio ivo ila watu hawalijui hilo
 
sasa hii post ndio 'msaada wa haraka' ?????

utafanya siku ukipost msaada wa haraka wa kweli tusitilie maanani..

ugonjwa wako wa moyo umepata nafuu???[/QUOTE]
nimepata nafuu asante kwa kuuliza
 
Facebook haifai kabisa, ukiwa katika relationship....

mwambie rafiki yako achape lapa... jamaa ni mzinzi ....
 
umeamua kunileta huku?
 
dah, hyo kal kwa kwel, kuna kupenda ila unaweza penda pasipo pendeka kama hapo, kama kwel kaka hana mpango na hao wadada wa fb password kabadilisha ya nin? hiyo ni cheating ya waziwazi, aendelee kumfuatilia kwa karibu bila kukata tamaa, ila cha muhimu ajal afya yake 2 ndo jambo la msingi.
 
hapa dada yangu umeongea point.
 
Ningekuwa mimi hata nisingejiuliza mara mbili mbili. Hapo ni kupiga chini fasta.
 
majibu yake eti anawazingua tu hana mpango nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…