Freightliner JF-Expert Member Joined Aug 22, 2013 Posts 720 Reaction score 527 Sep 3, 2013 #1 Wanajamvi naombeni mnijuze kuhusu suala la kubadilisha course chuo kikuu kwamba masharti yake yakoje,je!lazima upate mtu ndio mbadilishani ama ni tofauti na hivyo? MSAADA WENU NI MUHIMU KWANGU
Wanajamvi naombeni mnijuze kuhusu suala la kubadilisha course chuo kikuu kwamba masharti yake yakoje,je!lazima upate mtu ndio mbadilishani ama ni tofauti na hivyo? MSAADA WENU NI MUHIMU KWANGU
M Msafiri Kasian JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,133 Reaction score 661 Sep 3, 2013 #2 Mi ninachojua ni kwamba; Utapaswa kuandka barua na kuomba kufanya hvyo. Itategemea na chuo unachokwenda. Ngoja waje wengne wenye uzoefu zaidi.
Mi ninachojua ni kwamba; Utapaswa kuandka barua na kuomba kufanya hvyo. Itategemea na chuo unachokwenda. Ngoja waje wengne wenye uzoefu zaidi.
LTK JF-Expert Member Joined Sep 1, 2013 Posts 267 Reaction score 97 Sep 3, 2013 #3 Tembelea website ya TCU, wameweka utaratibu wa kufata.
Freightliner JF-Expert Member Joined Aug 22, 2013 Posts 720 Reaction score 527 Sep 3, 2013 Thread starter #4 Msafiri Kasian said: Mi ninachojua ni kwamba; Utapaswa kuandka barua na kuomba kufanya hvyo. Itategemea na chuo unachokwenda. Ngoja waje wengne wenye uzoefu zaidi. Click to expand... nashukuru
Msafiri Kasian said: Mi ninachojua ni kwamba; Utapaswa kuandka barua na kuomba kufanya hvyo. Itategemea na chuo unachokwenda. Ngoja waje wengne wenye uzoefu zaidi. Click to expand... nashukuru