Msaada wa haraka jamani

Msaada wa haraka jamani

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
173
Juzi ucku nimemaliza dozi ya msetto ya mtu mzima, lakini cha kushangaza jana na leo dalili za malaria zinakuwa kama zinaanza upya, kichwa na mwili mzima kuniuma, sasa nachojiuliza inawezekana hii malaria haijaisha au??? Msaada plse, NB sipo dar na huku hakuna dengue, siitaji majibu kama hayo pls
 
Nipm nikupe no yamtu uwasiliane nae atakusaidia shida chief
 
Juzi ucku nimemaliza dozi ya msetto ya mtu mzima, lakini cha kushangaza jana na leo dalili za malaria zinakuwa kama zinaanza upya, kichwa na mwili mzima kuniuma, sasa nachojiuliza inawezekana hii malaria haijaisha au??? Msaada plse, NB sipo dar na huku hakuna dengue, siitaji majibu kama hayo pls

Kapime tena ndio ujue whts wrong
 
nenda hospitali tena ukachekiwe afya mkuu utoe maelezo ya kuwa umemaliza mseto
 
Juzi ucku nimemaliza dozi ya msetto ya mtu mzima, lakini cha kushangaza jana na leo dalili za malaria zinakuwa kama zinaanza upya, kichwa na mwili mzima kuniuma, sasa nachojiuliza inawezekana hii malaria haijaisha au??? Msaada plse, NB sipo dar na huku hakuna dengue, siitaji majibu kama hayo pls

Mkuu usiwe selective kusikia majibu unayotaka wewe wacha watu wachangia kwa mitizamo yao unaweza ukasema sio dengue kwa sababu huko hamna hao mbu kumbe ukawa unajidanganya!!!
 
mseto una tabia ya kupandsha homa upya unaweza ukalazwa kabsa, sikilzia kwanza ukiona bado nenda hosptal kachek tena. Pole Mungu akuponye.
 
Back
Top Bottom