Msaada wa haraka jamani

Msaada wa haraka jamani

wejja

Senior Member
Joined
Nov 1, 2011
Posts
126
Reaction score
16
Wadau ninaaply mkopo baada ya heslb kutoa chance ya wiki mbili za kufanya hivyo.

Mimi nilimaliz form four mwaka jana na nimechaguliwa special program ya Udom. Lakini kwenye kujaza details kuna sehemu ambayo ni mandatory status ina option tatu ambazo ni form six, diploma au equivalent.

Mimi ni form four leaver, nijaze nini jamani?
 
Hapo mkuu nakushauri uwapigie heslb au uende ofisini kwao tu (namba zao unaweza ku-google or website yao)
 
Back
Top Bottom