Wadau ninaaply mkopo baada ya heslb kutoa chance ya wiki mbili za kufanya hivyo.
Mimi nilimaliz form four mwaka jana na nimechaguliwa special program ya Udom. Lakini kwenye kujaza details kuna sehemu ambayo ni mandatory status ina option tatu ambazo ni form six, diploma au equivalent.
Mimi ni form four leaver, nijaze nini jamani?