Nina tatizo la vidonda vya tumbo..ila chochote nachokula tumbo linajaa gesi na nina umia sana..naomba msaada wa jinsi ya kukabiliana na hili tatizo tumbo kujaa gesi.
Pole sana kwa hali hiyo uliyo nayo. Usichoke sana kwa sababu wengi huwa hawajui namna ya kufanya kuondokana na hiyo hali ila nakushauri usome maelezo muhimu ya namna ya kuweza kuzuia hiyo hali kwa kutumia lishe maalumu iliyoandaliwa kiasilia na isiyokuwa na madhara kiafya. Imeweza kuthibitishwa na kutumiwa duniani kote pia hapa Tanzania imethibitishwa na mamlaka ya chakula na dawa.
REISHI
Bidhaa hii inatokana na uyoga mwekundu unaotoka Asia ya mashariki, China, Japan. Uyoga(Ganoderma licidum) unaaminika sana Asia ya mashariki kuwa ni mmea ambao unawapa urefu wa maisha.
FAIDA YA REISHI
Kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
Inapunguza kasi ya kuzeeka
Inaimarisha utendaji kazi wa moyo
Inaondoa uchovu mwilini
Inaimarisha ubongo,kumbukumbu na usikivu
Inatibu presha ya kushuka
Inatibu vidonda vya tumbo
Inatibu pumu, allegy
Inasaidia kupunguza msongo wa mawazo na kukupa usingizi mzuri
Inapambana na maambukizi ya bacteria na fungus
Inasaidia mwili kujikinga na kansa
Inatibu matatizo ya candida
CA + FE + ZI PLUS
CA Madini ya Chokaa
FE Madini ya Chuma
ZI Madini ya Zinki
FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA
5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha
FAIDA ZA MADINI CHUMA
Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
Huongeza nguvu mwilini
FAIDA ZA MADINI YA ZINKI
Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
Inaimarisha milango ya fahamu
Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
Inaondoa matatizo ya macho.
GOLDEN HYPHA
Bidhaa hii inatokana na uyoga wa njano na uyoga mweupe wa kawaida.
FAIDA ZA GOLDEN HYPHA
Inasaidia kujikinga na saratani(kansa)
Kuzuia kuenea kwa saratani(kansa) ya mwili
Kujenga upya mfumo wa kinga mwilini na kuuimarisha
Inaondoa madhara ya baadaye na matibabu ya kansa
Inaondoa uvimbe mwilini
Inatibu matatizo ya ini
Inaongeza ute ute tumboni, puani,machoni na ukeni
Kutibu matatizo ya ngozi
Kupambana na bacteria na virusi
Kwa yeyote anayehitaji kuuliza swali au kutaka ushauri anaweza kunipigia kwa namba 0776491294 pia anaweza kuniandikia ujumbe kupitia email ishealthy@hotmail.com
Gharama za REISHI ni Tsh 85000/-, GOLDEN HYPHA ni 72000/- na CA+FE+ZI Plus ni 51000/-