Msaada wa haraka: Jinsi ya kuangalia fine kwenye gari ama leseni

Ibanda1

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2015
Posts
723
Reaction score
1,125
Habari za jioni wanajukwaa;
Wiki moja iliyopita niliandikiwa fine kwa makosa mawili na traffic ila akaniambia hawezi kunipatia risiti kwa sababu mtandao ulikuwa unasumbua hivyo akaniagiza nikimuona traffic yeyote nimuombe hiyo risiti ili niweze kulipa deni.

lakini nikakumbuka siku za nyuma nilikuwa naweza kuingia mtandaoni kupitia link tms.tpc.go.tz ili kupata control number, ila cha kushangaza leo kila nikijaribu kuingia kwenye hiyo link inaniletea error kama inavyoonekana kwenye hiyo attachment.
Naomba msaada kwa mwenye namna nyingine ya kupata hiyo control number coz leo nisipolipa notapigwa penalty nyingine
 

Attachments

  • 1000401051.jpg
    126.6 KB · Views: 11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…