[emoji16][emoji16] umejuaje kuwa huko aliko ni usikuLala tu mkuu, battery hamna humo
Inaelekea ndio gari yake ya kwanza na hana uzoefuLala tu mkuu, battery hamna humo
Mkuu, battery ikipoteza nguvu maana yake hauna namna nyingine zaidi ya kuipeleka ikachajiwe.Nitajaribu kucheza na betri.. inawezekana imepoteza nguvu
Mkuu, battery ikipoteza nguvu maana yake hauna namna nyingine zaidi ya kuipeleka ikachajiwe.
Pia kama battery imepoteza nguvu, hapo maana yake otoneta ilikua haizunguki ili kuichaji battery.
Na kama otoneta ilikua haizunguki, basi maana yake imekata belt ama waya wa main umekatika ama upo lose.
Sasa unacho paswa kufanya ni kama ifuatavyo:-
Kwanza kagua nyaya za positive and negative za kwenye battery kama hakija legea, ukikuta nyaya zimelegea basi zitaiti hata kwa kutumia plaizi na kisha jaribu kuwasha gari yako.
Kama ikikataa, hapo inakupasa utowe battery na ulipeleke likachajiwe na kisha rudi ufunge na kisha washa gari lako.
Kama ikikataa basi hapo ujuwe mkebe wako utakuwa na tatizo kubwa kidogo kwenye either stater ama otoneta
Kama itakutatiza nicheki kwa namba 0758 383624 na nitakuelekeza kwa simAsante Mkuu... itabidi kukikucha nijaribu hizi namna... huku nafanya maombi isiwe shida kubwa kidogo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu, kwanza naomba nikupongeze kwa kumiliki mkebe in town....
Pili naomba niseme kwamba sina la kukushauri, ebu subiri wajuaji wakuje...
Pale mwanzo nilikua vyombo mkuu, kwahiyo akili haikua yakwangu...tehteehh [emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa mbona umempa ushauri wa kutosha tu hapo juu??
Habari ya asubuhi mkuu..!!Nashkuru sana.. nitakutafuta asubuhi mkuu unisaidie nitakapokwama
[emoji3][emoji3][emoji3]Pale mwanzo nilikua vyombo mkuu, kwahiyo akili haikua yakwangu...tehteehh [emoji23][emoji23]
Unapoweka on kabla ya ignition, unaona nini kwenye dashboard....??Bado sijafanikiwa mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
Nyuzi za night full burudani...