Naomba msaada kuhusu mahali chuo hiki kilipo ukiwa unatokea Ubungo. Msaada kuhusu gari au magari ya kupanda na vituo vya kushukia hadi kufika chuoni hapo. Nashukuru kwa yeyote mwenye mawazo ya muhimu juu ya jambo hili.:israel:
Kipo Chanika! Ulizia gari za gongo la mboto ukifika g/mboto ulizia za chanika utafika bila shida chuo kipo njiani karibu na kituo zinapogeuzia daladala..
Kipo Chanika! Ulizia gari za gongo la mboto ukifika g/mboto ulizia za chanika utafika bila shida chuo kipo njiani karibu na kituo zinapogeuzia daladala..