Ndugu Wana Jf Naombeni Mnisaidie Kwa Matokeo Haya Naweza Kusomea Nini Na Chuo Gani Matokeo Yako Hivi Hist-c Bio-c Geo-d Kisw-d L-c M-f Civ-d Div 4-26 Naombeni Msaada Wenu
Iko xcul 1 ni kali sana inaitwa Swilla High school ipo Mbalizi mkoani Mbeya, ni nzur sana cheki results zake web ya Necta uthibitishe, ada na kila kitu jumla ni mil1 na nusu.