amenorrhea/kukosa hedhi husababishwa na vitu vingi...Ila ikumbukwekwe kwamba wanawake wengine wakijifungua kwa shida au wakipoteza watoto wanaweza kupewa dawa za kujikinga na mimba/contraception ili kuwapa nafasi kupumzika
inaweza kuwa magonjwa,ikawa stress ikawa hapati chakula vizuri etc
hivo hii issue haiko specific ila mwanamke kama hanyonyeshi exclusively within 12weeks inabidi apate menses