Msaada wa haraka kuhusu Ukimwi

TOFU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2012
Posts
573
Reaction score
196
Mtu kung'atwa na Muathirika wa Ukimwi anapaswa kuchukua hatua gani ili asipate maambukizi..!!??
 
Kawahi hospital wakupe ile pep wanaita nazani.
 
Mtu kung'atwa na Muathirika wa Ukimwi anapaswa kuchukua hatua gani ili asipate maambukizi..!!??
Sidhani kama hiyo ni njia ya kuambukiza ukimwi

Alafu ulimjuaje kama ana ukimwi.wakati ukimwi ni kama hela kila mtu hana
 
Ni mzazi wake mkuu...
Kulitokea ugomvi kati ya Baba na Mwenza wake, kijana alipotaka kuamua ugomvi Baba akamng'ata mwanae kidole gumba..!!!
 
Mtu kung'atwa na Muathirika wa Ukimwi anapaswa kuchukua hatua gani ili asipate maambukizi..!!??
Marekebisho kidogo..
Neno Muathirika linapaswa kukemewa.. Ni vema tukatumia "mtu anayeishi na maambukizi ya VVU"..

Immediate actions
1. Safisha na maji mengi na sabuni ila usisugue wala kukamua
2. Kama upo ndani ya masaa 72 nenda hospital ukapewe Post Exposure Prophylaxis
 
Sahamani kwa kutumia neno ila nimejifunza na asante kwa ushauri mkuu..!!
Ila nimempeleka Hospital wamempima VVU na kubaini hana maambukizi yoyote na kisha kupewa Vidonge vya ARV atumie kwa mwezi mmoja na dawa za kutuliza maumivu..!!!
 
Vidonge vya nini kama wamegundua hana maambukizi?
Au ndio wanamuambukiza? Vile vidonge ni kama kuvuta ngada kwa mwezi mmoja halafu uache.
 
Hahaha usihofu...labda awe km ana vidonda kwa ulimi au mdomo

Alafu alivyokuma. amekutoboa. Na iyo damu ya vidonda vyake imekuingia

Kwaufupi....Ili upate HIV KUPITIA MATE, ,, NILAZIMA UNYWE MATE ZAIDI YA LITA ISHRINI NDO UNAWEZA PATA HIV.
 
Ni mzazi wake mkuu...
Kulitokea ugomvi kati ya Baba na Mwenza wake, kijana alipotaka kuamua ugomvi Baba akamng'ata mwanae kidole gumba..!!!
Huyo baba mjinga sana
 
Sahamani kwa kutumia neno ila nimejifunza na asante kwa ushauri mkuu..!!
Ila nimempeleka Hospital wamempima VVU na kubaini hana maambukizi yoyote na kisha kupewa Vidonge vya ARV atumie kwa mwezi mmoja na dawa za kutuliza maumivu..!!!
Asante. This is a proper management. Ni vema akatumia PEP cz kupima exposure ni ngumu sana. Mtu anaweza akasema risk ni ndogo haina haja ya kumeza PEP but you never know.
Nashauri avumilie, ameze. Zitamsumbua sana mwanzoni, mwambie avumilie asiache.
 
Hapo sawa. Inatakiwa apimwe akikutwa hana ndio wanampa vidonge vyakuzuia HIV vinaitwa Post Exposure Prophylaxis kwa mwezi mzima vinakuw kama kinga yake. Kama angekutwa nao wasinge mpa vidonge vya kinga. Wangemuanzishia ARV moja kwa moja maana ni muathirika tiali.
 
Muathirika❌
Mwenye VVU✔
 
Asante. This is a proper management. Ni vema akatumia PEP cz kupima exposure ni ngumu sana. Mtu anaweza akasema risk ni ndogo haina haja ya kumeza PEP but you never know.
Nashauri avumilie, ameze. Zitamsumbua sana mwanzoni, mwambie avumilie asiache.
Asante kwa ushauri mzuuri mkuu...
Hope iyo PEP ndio izo dawa alizopewa....!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…