Msaada wa haraka kuhusu uombaji wa vyuo vikuu

Joined
Apr 3, 2013
Posts
53
Reaction score
0
Jaman ndugu zangu wana Jf. Mie nilifanya mtiani wangu wa kidato cha 6 mwaka jana (2012)! xaxa nataka nikajaze form ya TCU niombe chuo. , guide-book inaonyesha kwamba mwf. achague program zizizozozidi 5 na zisipungue 3! sasa je, inakubalika kujaza vyuo 5 af prog. 1 @ chuo? au ni mbili mbili then moja kwa vyuo vitatu? Au ni prg. 3 then 2 kwa vyuo 2?? Mie apo xielewi vizuli! ila mie nimeandaa vyuo 4 ambapo chuo 1 kina prg. 2 af ivyo vingine 3 ni program mojamoja !!!! Af swali lingine ni je,, inakubalika kujaza prg. moja kwa vyuo vyote ulivyochagua? yan prg. moja irudiwe kwa kila chuo au zinatakiwa ziwe tofauti? nielewesheni jamani ili nikajaze form yangu ya TCU vizuli.
 

Naomba uwasilishe tena swali lako hili hili lakini safari hii fanya kama unamuandikia mkuu wa chuo unachoomba kuingia.

It is not too early to act in a professional manner.
 
Rudi kasome hiyo TCU Admissions Guide Book.
Ukishindwa kuelewa basi huna sifa za kuingia chuo kikuu
 
Kuhusu namna ya kuomba chuo. Chuo kimoja usikirudie zaidi ya mara mbili na usirudie program 1 katika chuo hicho mara mbili. Kwa mfano unaweza kuomba uinjini wa aina mbili tofauti ud. Ila usijaze sheria mara mbili ud. Ile system ya tcu iko poa sana ukifanya kosa ktka kujaza inakuambia hapohapo.
 
Nadhani wameonesha kwamba chuo kimoja usizidishe labda kozi tatu,cha msingi fanya kulingana na maelekezo mkuu.
 
kwa huu uandishi wako ndugu yangu unatia huruma. Hivi huko mashuleni siku hizi wanafundisha nini? Kiswahili chako ni kibovu hakuna mfano, na pili unaandika kihuni huni tu. Hivi kuna umuhimu gani kuweka 'x' sehemu inayotakiwa kuwekwa 's'?
Kwa kweli bado tuna safari ndefu sana. Kiswahili hatujui, kiingereza hatujui,kuandika kiheshima hatuwezi. Taifa la wajinga, haya bwana.
 
Kwanza nimekusoma na kukuwaza kiswahili cha form four ulipata nini?
Na haujui kiswahili halafu unajiingiza kwenye xaxa! Una haraka ya kuandika kuliko sie wa kukuelekeza?

Baada ya masimango; nadhani kwa sababu unaomba kwa tcu peke yake, na wamesema program 5 nadhani inabidi ziwe za kutoka chuo chochote. Kwa hiyo hizo 5 ulizoandaa zinakutosha. Otherwise wapigie simu kwa namba yao iliyopo mtandaoni ueleweshwe sawasawa.
 
kila chuo unaweza kuomba program zaidi ya moja. unaweza kuomba zote 3 au 5 kwenye chuo kimoja. au kila moja chuo kimoja.
 
Rudia kuandika vizuri maana unatia aibu. Hii ndo elimu ya kubabaisha mnayoitoa kwenye vituo kibao vilivyoanzishwa vya kutoa elimu ya kidato cha tano na sita kwa mwaka mmoja. Mbaya zaidi yawezekana ukaomba kusoma shahada ya ualimu na baada ya kuhitimu utakwenda kufundisha kiswahili. Mungu wangu! Hivi watoto wetu watakaofundishwa na wewe itakuwaje?
 
Alaka ndio nini...!
Thibitisha kwamba wewe ni pre-university kwa kuandika vyema.
Ukishindwa kuandika kwa kiswahili tumia kiingereza. Usiharibu lugha adhimu ya kiswahili.
 
Alaka ndio nini...!
Thibitisha kwamba wewe ni pre-university kwa kuandika vyema.
Ukishindwa kuandika kwa kiswahili tumia kiingereza. Usiharibu lugha adhimu ya kiswahili.

Acheni kumbabaisha dogo bali la muhimu msaidieni
 

nimeshindwa kukuelewa........ALAKA ndo nn
 
Hamna tatizo, we sematu unachojiskia kusema!! kwakuwa nina shida, naona upo sahihi kwa ulichoandika. Ahsante okey?
 
Mwenye shida ni kama shimo la taka!! hilo lipo wazi!! kwahiyo hata nikitukanwa, Katu moyo wangu hauingii doa! Kwasababu nina shida nitafanyaje!!!!!!!!!!!. ila nashkuru kwa mawazo yako okey?
 
As i already said; MWENYE SHIDA NI KAMA SHIMO LA TAKA!! hope you do understand!
 
Wewe chuo hutaweza ..msaada wa alaka ndo nini...kwenda kalime huko mnajaza watu tu mjini hapa
 
Una kiswahili kibovuuu...ht chuo sidhani kama utapata..alaka (haraka)..kuusu (kuhusu)..alaf (halafu)..n I hate this X thing...usijisumbue kuomba chuo mtu na akili zake hawezi andika upuuzi hivi..halafu mkifeli ooh tumefelishwa wkt kwenye answershit mnaandika swaga..ht km mm ni mwalimu lazma nitie kosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…