Msaada wa haraka, kuhusu vipimo vinavyoonesha kuwa mtu kafanya mapenzi

Msaada wa haraka, kuhusu vipimo vinavyoonesha kuwa mtu kafanya mapenzi

Isaack Newton

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
594
Reaction score
291
Habari wakuu;
Jamani mimi naomba kujuzwa kwamba hivi mtu akifanya mapenzi halafu akakaa wiki moja,je akienda hospitali kupima je vipimo vitaonesha kuwa alifanya mapenzi?

Naomba kujuzwa maana mimi nimefanya mapenzi na mchumba wangu ila bahati mbaya siku hiyo msichana alichelewa kufika kwao wakamwambia kuwa katoka kufanya mapenzi na mimi maana walikua wanahisigi kuwa mimi ni mtu wake akawa amekataa sasa wamemwambia aende hospitali pamoja na wao na mimi kupima vipimo kama tulifanya.

Ishu ni kwamba walisema ikijulikana tulifanya basi moja kwa moja ndoa, na sisi hatupo tayari kuoana sasa hivi.

NAWASILISHA
 
Mkuu umeielewa kweli thread? anyway ngoja nkujibu, huyo msichana simchezei nampenda na ntamuoa
Sasa kama unampenda mbona unaogopa ndoa si ndo vizuri unakuwa na umpendae karibu.

Aaaah nawaelewa nyie vijana amna lolote unataka upige usepe.
 
Sasa kama unampenda mbona unaogopa ndoa si ndo vizuri unakuwa na umpendae karibu.

Aaaah nawaelewa nyie vijana amna lolote unataka upige usepe.
hapana mkuu yule msichana nimetoka nae mbali sana ntamuoa tu
 
Mkuu umeielewa kweli thread? anyway ngoja nkujibu, huyo msichana simchezei nampenda na ntamuoa
Kinachokuzuia sasa ni nn.
Kwanza dini imekataza zinaa
Kilichokufanya uzini ni nini, kwanza wanachelewa wampime haraka wakukomeshe.
 
Watachua DNA ya mbegu zako ila kama ulipiga kavu kavu na ikawa internal cumming
 
Sayansi Hapa Ngumu Mno
Utaambulia Majibu Ya "Ramli Chonganishi"
Wakati Serikali Imepiga Marufuku
 
Habari wakuu;
Jamani mimi naomba kujuzwa kwamba hivi mtu akifanya mapenzi halafu akakaa wiki moja,je akienda hospitali kupima je vipimo vitaonesha kuwa alifanya mapenzi?
Naomba kujuzwa maana mimi nimefanya mapenzi na mchumba wangu ila bahati mbaya siku hiyo msichana alichelewa kufika kwao wakamwambia kuwa katoka kufanya mapenzi na mimi maana walikua wanahisigi kuwa mimi ni mtu wake akawa amekataa sasa wamemwambia aende hospitali pamoja na wao na mimi kupima vipimo kama tulifanya.Ishu ni kwamba walisema ikijulikana tulifanya basi moja kwa moja ndoa, na sisi hatupo tayari kuoana sa hivi.

NAWASILISHA

Mkuu, Sir Isaack newton was a very great thinker, mtendee haki japo kidogo.
 
Hapo wazazi wa mwanamke wanawachota akili tu ili mkubali kwamba mlifanya but hawawezi kufanya kitu kama hicho kumpeleka kupimwa.
But kijana usiogope kuoa kiasi hicho kama mnajuana na mmeridhiana ni bora muoane tu tena wanavyokwambia wanakufunhisha ndoa hapo hapo ndo vizuri maana hata mahari hautatoa kama ukitoa ni kdg sanq
 
Back
Top Bottom