Isaack Newton
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 594
- 291
Yani acha tu mkuu nafikiri unaelewa hizo mamboWakat wa utamu hukutushirikisha mkuu.
Sasa kama unampenda mbona unaogopa ndoa si ndo vizuri unakuwa na umpendae karibu.Mkuu umeielewa kweli thread? anyway ngoja nkujibu, huyo msichana simchezei nampenda na ntamuoa
mkuu kumuoa ntamuoa lakini sio mda huuKubali ndoa mkuu
hapana mkuu yule msichana nimetoka nae mbali sana ntamuoa tuSasa kama unampenda mbona unaogopa ndoa si ndo vizuri unakuwa na umpendae karibu.
Aaaah nawaelewa nyie vijana amna lolote unataka upige usepe.
Kinachokuzuia sasa ni nn.Mkuu umeielewa kweli thread? anyway ngoja nkujibu, huyo msichana simchezei nampenda na ntamuoa
Habari wakuu;
Jamani mimi naomba kujuzwa kwamba hivi mtu akifanya mapenzi halafu akakaa wiki moja,je akienda hospitali kupima je vipimo vitaonesha kuwa alifanya mapenzi?
Naomba kujuzwa maana mimi nimefanya mapenzi na mchumba wangu ila bahati mbaya siku hiyo msichana alichelewa kufika kwao wakamwambia kuwa katoka kufanya mapenzi na mimi maana walikua wanahisigi kuwa mimi ni mtu wake akawa amekataa sasa wamemwambia aende hospitali pamoja na wao na mimi kupima vipimo kama tulifanya.Ishu ni kwamba walisema ikijulikana tulifanya basi moja kwa moja ndoa, na sisi hatupo tayari kuoana sa hivi.
NAWASILISHA