msaada wa haraka kutoka kwa dactari kwa mgonjwa i

debon

Senior Member
Joined
Oct 6, 2011
Posts
145
Reaction score
89
Mdogo wangu alikuwa anatumia dawa za lagactil na artane kwa sababu ya kutuliza kuchanganyikia kwa miezi minne, dawa zimemletea madhara zaidi ni wiki ya pili sasa toka aache kuzimeza, tatizo ni kwamba amekuwa kama teja udenda unamtoka, anatetemeka, hana nguvu na hapati usingizi. Nimsaidieje huyu mtu afya yake irudi. Kuhusu akili yuko sawa . haonyeshi tatizo
 
duh pole sana, ngoja watakuja wataalam.
 
mpeleke hospitali akabadilishiwe dawa atakuwa anapata withdrawal effects,yaani dawa inaondoka mwilini wakati mwili uliizoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…