Msaada wa haraka kutoka kwa watumiaji wa NMB

Msaada wa haraka kutoka kwa watumiaji wa NMB

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Habari wakuu,

Nahitaji kuhamisha kitita cha dollar 1.5 kutoka NMB Chap Chap Account kwenda Prepaid Account.

Sijawahi kutumia NMB Mkononi japokuwa nimeunganishwa kupitia Vodacom

Nifuate hatua zipi wakuu?

Nina 200 as normal balance kwenye vodacom kwa maana ya nikikosea mara mbili imekula kwangu

Makato yanaweza fika kiasi gani kuhamisha.

Ila kikubwa hatua za kuhamisha.

Nawasilisha.

Kumbuka: Account namba ya Prepaid ina hadi herufi ndani
 
Back
Top Bottom