Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Sio $1m ni 1.5 dollar, 1 dollar ni kama 2700 Tsh Approximately. Mkuu, kwani hiyo siyo hela? Kwenye milioni ukitoa 2700 inabaki kuwa milioni?Maprosoo, kudadeki.
Unaijuwa usd 1 million wewe?
Wanatupiana mipira mkuuWapigie simu Nmb buree 0800 002 002
Ndo hivyo mkuu, nikiongezea 21,000 nalipia Premium Pack kwa Dr Elon kule XDollar 1.5 = Tshs 4,024.3017
Hofu ya kupoteza buku 4. Vyuma vimekaza kisawasawa.
Mkuu, kwani Dollar moja sio pesa. Ni mshahara wa saidia mama n'tilie wa sikuElimu gharama una dollar ngapi apo
Ndio mkuu, najifunza kuheshimu pesa hata kama ni kiwango kidogo sana cha kusikitishaHofu yako ni Mia 2 kuisha? Au Mimi ni Sielewi
Kasema Dollar 1.5 sio 1 million dollarsMaprosoo, kudadeki.
Unaijuwa usd 1 million wewe?
kitita cha dollar 1.5 kutoka NMB Chap Chap
Dah, haya maelezo.. nimelia sanaNdio mkuu, najifunza kuheshimu pesa hata kama ni kiwango kidogo sana cha kusikitisha
Hapana mkuu, haya ndo matokeo ya kuwa mtanzania😂Dah, haya maelezo.. nimelia sana