msaada wa haraka kwa mdogo wangu jamani madokta

Loly

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
522
Reaction score
221
mdogo wangu wakike anatatizo kabla hajafika kwenye cku zake huwa anaona bleed kidogo inakatika kwa muda wa kama siku 4 hivi inakua inatoka kitone inakatika baada ya hapo eti anakua mkavu kama siku 2,3 hivi then ndio siku zake zinaanza kwenye tarehe zilezile zake kama kawaida. Kwakweli hichi kitu kina mnyima raha sana dr. Riwa na wengineo jamani mawazo yenu yanahitajika saana





0
 
hebu tujuze tatizo hilo lilianza lini..?! yaani ana muda gani..?!
 

usije ukawa unatafuta mchawi nan? Wakati kajiloga mwenyewe muulize kama amewahi kutumia mividonge ya majira.
Maana na nyie dada ze 2 mnamambo kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…