ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 504
- 209
Mwanzoni walianza kusema kuwa ni tatizo la fangasi akawa anapewa dawa za kupachika lakini sikuona unafuu wowote!!!!Hiyo ni Pelvic inflamantory disease kama siyo hiyo basi ni STI mpeleke kituo cha afya apate vipimo cyo kumtibu kienyeji
mkuu mpaka leo ujampeleka tu kwenye vipimo kuwa serious bana fanya utaratibu apimwe tenaMwanzoni walianza kusema kuwa ni tatizo la fangasi akawa anapewa dawa za kupachika lakini sikuona unafuu wowote!!!!
Mkuu huyo atakuwa na infection, sabuni pekee hazitamaliza tatizo. Inabidi akafanyiwe vipimo na wewe pia ufanyiwe vipimo wote mutibiwe kwa antibiotics.Mwandani wangu ana tatizo la kutoa harufu kali ukeni naomba msaada wa nini cha kufanya.Niliwahi kukutana na wataalamu wakanipa sabuni zinaitwa woman wash lakini zimesaidia kwa muda.Tatizo limejirudia.Akina mama mliomo humu jf leteni ushauri hata nyie wanaume kama mmnajua niambieni!!!!!11