msaada wa haraka kwa wasomi wa sheria za nchi.

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
ndugu zangu hamjambo? naomba msaada wa kisheria endapo nilishitakiwa na mtu, nikashindwa kesi, kwa maana ya sheria kupindishwa maana nilitakiwa pamoja na kushindwa nishinde na sio kushindwa, Akimu aliye amua keshi dhdi yangu amekili kuwa aliamua kesi ile kimakosa na anaomba radhi, ila ukumu inatekelezwa na Mh hakimu mwingine, paspo kujali kuwa kesi iliukumiwa kimakosa, na anae kaza ukumu, amekuwa akinifunga mara kwa mara, na nimesha kaa polic zaidi ya siku saba, baada wanakuja watu wanagundua kesi ile nilitakiwa nishinde na akimu aliye amua kesi anakili, tatzo hapo ni kuwa nilichelewa kukata rufaa, je sheria inasemaje nawezaje kupata haki yangu?
Mh akimu aliyeamua kesi yangu anakili na amenipa namba ya simu ya watetezi wa haki zabinadamu, je watasaidia?
 
Nimejitahidi kukuelewa ingawa maelezo yako hayafafanui na yanajichanganya, ilikuwaje Hakimu akakueleza kuwa ulitakiwa ushinde kesi, ni nani aliyeiangalia kesi yako akaona kwamba ulitakiwa ushinde?.

Anyway, embu kwa umakini eleza ulikuwa na kesi gani na hukumu iliyotolewa ni ipi, na ni lini imetolewa ili tujue tunakusaidia kuanzia wapi, na sababu zipi zilizopelekea kukata rufaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…