Baba mtata
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 280
- 40
Habari wa kuu naomba kuuliza na kama mtu anajua dawa ya haya maumivu ya kuanzia mabegan kwa nyuma na kwa ndani anisaidie mana panauma sana na nimejaribu dawa kama omoprazole lakini hakuna mana wengine walidai ni vidonda vya tumbo sasa sijaelewa bado tatizo ni lipi mwenye uelewa kwenye hili anisaidie