Msaada wa haraka Mguu unaniuma

Msaada wa haraka Mguu unaniuma

Mr muhuni

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2014
Posts
1,298
Reaction score
1,266
Nahitaji msaada wa haraka Sana
Mguu wangu wa kulia Kuna maumivivu nayapata makali sana yalianza siku3 zimepita ila leo usiku sijalala kabisa maumivi yamekuwa makali mno Tena Sana nimeshindwa kulala kabisa,
ila Jana na juzi yalikuwa ya kawaida mno naweza kutembea vizur
ila nikiamka asubuhi nashidwa kutembea vizur yaan nachechemea kidogo kama dk 3-5 yanapungua, na kikikaa kwa mda mrefu nikinyanyuka ghafla nishindwa kutembea vizur ila kuanzia Jana jion yamekuwa makali mno Tena sana Mguu unauma hatari Sana ata kuamka sitaki kwa kwel kama leo nimelala style moja tuu kuugeuza siwez kabisa
please ndugu zangu nisaidie maumivu yako juu ya paja kabisa kama picha inavyoonyesha
 

Attachments

  • IMG_20190107_033151_544.jpg
    IMG_20190107_033151_544.jpg
    6.5 KB · Views: 30
Kuna ndg yng alianza hivyohivyo na baadae maumivu yaliongezeka na kusambaa mwili mzima hadi mgongoni na mikononi. Pamoja na maumivu makali ya kichwa na homa!
Alipopimwa Hospitals alibainika kuwa na Bacterial infection kwenye damu : Akaandikiwa sindano 5 za POWERSAFE na vidonge Vya maumivu pamoja na dawa za kuongeza damu!!! Tangu hapo tatizo limekwisha kabisa na ameshaanza kusahau:;
 
Back
Top Bottom