zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,217
jamani yamenikuta mke wa mpangaji ametokea kunipenda na mpaka kuniweka wazi kuwa hataki mahusiano yoyote ila niwe tayari akiwa kwenye siku za kushika UJAUZITO,Ndo tukutane kuitumia hyo siku vizuri.
Then tusifahamiane tena hata mtoto akizaliwa nisitegemee kufahamu hilo,kwani akijigundua tu Ana mimba alinambia atamlazimisha Mme wake waende mi itakuwa ngumu kufahamu walipo.
Nimeonywa nisipotekeleza ntakiona cha mte makuni.
Njia panda wana JF.

Zubedayo.ni jina langu,mi ni mgogo wa mvumi.kwani we zubeda jike dume? mbona mnatuchanganya humu JF? mi nilijua zubeda ni mwali kumbe .....au umeandika hili bandiko ukimuwakilisha mtu mwingine? fafanua tafwazali!!!!